Serikali imeweka mikakati ya kuwahamisha watoto wanaorandaranda mitaani na kuwatafutia makao rasmi mbali na kuwapaa mafunzo ya kiufundi ili waweze kujikimu kimaisha. Akizungumza baada ya kutembelea makao ya watoto ya Ufariji katika eneo la Kasarani,jijini Nairobi katibu katika idara ya huduma kwa watoto Caren Ageng'o, alifichua kwamba takriban watoto 20,000 wamenusuriwa na kupelekwa kwenye makao salama.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive