- 244 viewsDuration: 2:38Sasa unaweza kununua au kuuza hisa kwenye soko la hisa la Nairobi kwa kutumia simu yako ya rununu kufuatia uzinduzi wa programu ya Ziidi inayotumia huduma za M-PESA. Rais William Ruto amesema mbinu hiyo ni sehemu ya uvumbuzi ambao ni nguzo muhimu ya kubadilisha jinsi wananchi wanavyoweza kujipatia kipato kupitia masoko ya mtaji. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive