- 16,705 viewsDuration: 54sKesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi tarehe 12/02/2026 baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuridhia pingamizi moja kati ya matano yaliyowasilishwa na Tundu Lissu. Mahakama imeridhia kizimba maalumu cha kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia hakikidhi vigezo vya kisheria hivyo kifanyiwe marekebisho ili kuendana na matakwa ya kisheria . Shauri hilo litaendelea kesho, ambapo upande wa mashtaka utaanza kuwasilisha mashahidi wao, wakiwemo mashahidi wa siri na wale wasio wa siri ambao ni pamoja na askari 19. #bbcswahili #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw