BBC MITIKASI LEO 08.11.2022

  • | BBC Swahili
    3,214 views
    Yaliyomo!!!Halfa za kuwastiri baadhi ya waliofariki maji baada ya ndege ya Kampuni ya #precisionair Air kuzamaa maji Jumapili katika Ziwa Victoria, Kaskazini magharibi mwa Tanzania, zimefanyika katika sehemu mbali mbali nchini humo Jumanne wiki hii! #bbcmitikasileo na #lynace #mwashighadi #lyancem #kagera #bukoba #samia #tanzania #cop27