Kesi ya mwanajeshi wa zamani Meja Peter Mugure inaendelea

  • | Citizen TV
    528 views

    Shahidi katika kesi dhidi ya aliyekuwa mwanajeshi Meja Peter Mugure ya mauaji ya mkewe Joyce Syombua na wanawe wawili ameeleza jinsi alivyomsaidia mshukiwa kusafirisha maiti za watatu hao kutoka kituo cha jeshi cha Nanyuki katika Kaunti ya Laikipia hadi alikowazika. Afisa mpelelezi Victor Kiptoo pia alitoa ushahidi wake kuhusu madai ya kuwa Peter Mugure aliwaua watatu hao tarehe 26/10/2019. Kesi hiyo itaendelea hapo kesho .