Makali ya ukame | Wadau waelezea hofu ya wanafunzi kukosa mitihani

  • | KBC Video
    11 views

    Wadau katika sekta ya elimu katika maeneo kame wana wasiwasi kwamba huenda watahiniwa wa mitihani ya kitaifa mwaka huu wakakosa kufanya mitihani hiyo kutokana na ukame uliokithiri. Katika eneo bunge la Tiaty kaunti ya Baringo, wanafunzi wengi wameacha shule na kuungana na wazazi wao kutafuta lishe na maji. Wasomi katika maeneo hayo sasa wanatoa wito kwa serikali ya kitafa kuingilia kati ili kuhakikisha kuwa watahiniwa wa eneo hilo watafanya mitihani yao ya kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ukame #News #mtihaniwakitaifa