Marubani wa Kenya Airways waamriwa kurejea kazini kesho saa kumi na mbili asubuhi

  • | K24 Video
    176 views

    Marubani wa Kenya Airways wameamriwa warejee kazini kesho saa kumi na mbili asubuhi na kusitisha mgomo wao uliokuwa umeingia siku ya nne. Jaji anna mwaure aidha ameionya kenya airways dhidi ya kuwatisha marubani hao.Aanaarifu kuwa mazungumzo baina ya pande zote mbili yatarejea shughuli zikiendelea huku korti ikipiga marufuku pande zote mbili kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari.