Maonyesho ya mbwa

  • | Citizen TV
    2,751 views

    Maonyesho ya mbwa yalifanyika mwishoni mwa juma huku wamilika wa mbwa aina mbalimbali kote nchini wakikongamana katika uwanja wa racecourse hapa jijini nairobi kujionea na kusoma mengi kuhusu afya na malezi ya mbwa.