Waziri wa afya aunga mkono marekebisho katika halmashauri ya usambazaji wa dawa

  • | KBC Video
    37 views

    Waziri wa afya Susan Nakhumicha ameunga mkono marekebisho yanayofanywa katika halmashauri ya usambazaji wa dawa na vifaa vya matibabu ili kuimarisha huduma za halmashauri hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #wizarayaafya #News #susannakhumicha #KEMSA