Skip to main content
Skip to main content

APS Bomet yapigwa jeki na

  • | Citizen TV
    748 views
    Duration: 1:29
    Klabu mpya ya ligi kuu nchini APS Bomet itapokea basi jipya kutoka kwa rais William Ruto huku uwanja wao wa IAAF ukikarabatiwa ndani ya miezi mitatu. Ni baadhi ya mipangilio iliyotangazwa na kinara wao ambaye pia ni waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kwenye hafla ya kukusanya fedha.