- 26,488 viewsDuration: 28:10Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha kwa vijana waliokamatwa kufuatia maandamano ya siku 3 yaliyofanyika kuanzia siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw