- 135 viewsTume ya Maadili na Kukabili Ufisadi (EACC) imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya wizi wa pesa za umma dhidi ya Maafisa Wakuu wa Serikali ya Kaunti ya Bungoma katika hafla ya kuwasha taa za mti wa Krismasi zilizogharimu Shillingi milioni 3.6.