Dennis Gachoki, mshukiwa mkuu kwenye mauaji ya Mugota, ajisalimisha

  • | KBC Video
    38 views

    Dennis Karani Gachoki ambaye alitajwa na idara ya upelelezi kuwa mshukiwa mkuu kwenye mauaji ya mwanamume mmoja katika eneo la Mirema wiki iliyopita amejisalimisha kwa maafisa wa upelelezi. Dennis amekanusha kuhusika katika mauaji ya Samuel Mugo Mugota ambaye polisi wanasema alikuwa kiongozi wa genge la wahalifu. Hata hivyo, Dennis amekiri kumfahamu Mugota akisema walikuwa washirika wa kibiashara tangu mwaka-2015.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News