Skip to main content
Skip to main content

Siasa za maji Pwani: Bodi ya maji yajitetea, magavana walidai imezembea kazi

  • | Citizen TV
    231 views
    Duration: 3:11
    Mamlaka ya usambazaji maji ya pwani imekana madai ya magavana wa eneo hilo kuwa wamezembea katika utendakazi wake na kusababisha uhaba wa maji kwa wakazi wa pwani. Afisa mkuu wa mamlaka hiyo hamoud mguza badal yake akisema, mzigo wa madeni ya kaunti umezidi kulemaza kazi zao. Mamlaka hiyo sasa inawataka magavana wa Mombasa, kwale, Kilifi na Taita Taveta kulipa madeni yao ua zaidi ya bilioni moja.