Bunge lamuidhinisha Japhet Koome kuwa inspekta jenerali wa polisi

  • | Citizen TV
    3,126 views

    Japhet Koome ameidhinishwa na kamati ya pamoja ya usalama bungeni kuwa inspekta jenerali wa polisi. Koome anachukua hatamu za uongozi wakati ambapo ongezeko la visa vya utovu wa usalama linazua wasiwasi nchini. Na kama anavyoarifu Emily Chebet, wizi wa kimabavu na watu kuuwawa na majambazi vimewatia hofu wakaazi wa Nakuru na Nairobi.