Familia elfu-35 katika eneo la Kiogoro, kaunti ya Kisii zinatarajiwa kunufaika na mradi wa uunganishaji umeme wa shilingi bilioni-2.5. Waziri wa kawi Opiyo Wandayi, akiongoza uzinduzi wa mradi huo, alisema utapiga jeki maendeleo na kuhakikisha mageuzi ya kiuchumi katika sehemu hiyo. Kwingineko kwenye kaunti ya Kilifi, Kampuni ya uunganishaji umeme mashinani-REREC imezindua kituo kipya cha uuunganishaji umeme.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive