Muungano wa madaktari wasema mfumo wa afya umedorora

  • | Citizen TV
    280 views

    Miungano ya madaktari kutoka Afrika Mashariki imetoa tahadhari kufuatia kile inachosema kudorora kwa sekta ya afya ya umma. Katika hafla ambayo katibu mkuu wa KMPDU Davji Bhimji aliteuliwa kuwa Rais wa miungano ya madaktari Afrika Mashariki, miuungano hiyo imetaka serikali za jumuiya hii kuongeza bajeti inayotengewa sekta ya afya hadi asilimia 15% kila mwaka