Mahakama yaamuru maafisa wa nane wa DCI wazuiliwe kwa siku 21 zaidi

  • | K24 Video
    92 views

    Hakimu mkuu wa mahakama ya milimani Diana Mochache ameamuru maafisa wa kikosi maalum cha idara ya upelelezi kilichovunjwa na rais waendelee kuzuiliwa kwa siku 21 zaidi. Hatahivyo mahakama hiyo imemuachilia mmoja wa maafisa hao, Francis Ndonye kwa dhamana ya shilingi nusu milioni.