Skip to main content
Skip to main content

Wandani wa rais Ruto wakashifu Gachagua

  • | NTV Video
    964 views
    Duration: 2:34
    Wandani wa rais William Ruto wakiongozwa na msaidizi wa rais Farouk Kibet wamekashifu upinzani haswa kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua wakidai kuwa hawafai kuwachochea wakazi wa Kaskazini mwa Kenya kufaidika na maendeleo kutoka kwa serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya