Skip to main content
Skip to main content

Halmashauri ya EPRA yatangaza kupungua kwa bei ya mafuta

  • | KBC Video
    361 views
    Duration: 2:17
    Bei ya mafuta imepungua kwa kati ya shilingi moja na shilingi nne katika makadirio ya kila mwezi ya halmashauri ya udhibiti wa kawi 'EPRA'. Halmashauri hiyo ilitangaza kupungua kwa bei ya Super Petrol kwa takriban shilingi nne, dizeli kwa shilingi tatu na mafuta taa kwa shilingi moja. Jijini Nairobi, lita moja ya petroli sasa itauzwa kwa shilingi 178.28, dizeli shilingi 166.54, na mafuta taa shilingi 152.78. Hii hapa taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive