Skip to main content
Skip to main content

Tatizo la wanawake kufariki wanapojifungua laangaziwa kwenye mkutano wa Muungano wa Afrika

  • | KBC Video
    209 views
    Duration: 3:35
    Tatizo la wanawake kufariki wanapojifungua barani Afrika liliangaziwa pakubwa wakati wa kikao cha 39 cha kawaida cha kongamano la wakuu wa mataifa na serikali la baraza la Muungano wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia. Rais William Ruto akihutubia baraza hilo alisema haifai kwa wanawake kuendelea kupoteza maisha wanapojifungua, akisisitiza kwamba kulindwa kwa maisha ya wanawake na watoto ni jukumu ambalo lazima lidumishwe kikamilifu. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim atuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive