Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto ashinikiza utekelezaji wa biashara huru barani Afrika

  • | Citizen TV
    1,997 views
    Duration: 2:34
    Rais William Ruto anashinikiza hatua za haraka kuchukuliwa ili utekelezaji wa biashara huru barani afrika uafikiwe. Akiongoza kikao cha marais na viongozi wa mataifa jijini Addis Ababa, nchini Ethiopia, Rais Ruto amesisitiza kuwa mkataba wa soko huru sharti uanze kutekelezwa ili kuwafaidi watu bilioni 1.4 wa bara la afrika. Aidha Rais Ruto ameshinikiza kuwekwa kwa mikakati ya kuwakinga waafrika dhidi ya vikwazo vya kibiashara ili kupanua uchumi wa afrika.