Skip to main content
Skip to main content

Moses Muthama azikwa nyumbani kwao Tala

  • | Citizen TV
    3,360 views
    Duration: 1:19
    Mwanawe aliyekuwa seneta wa Machakos Johnstone Muthama, Moses Muthama alizikwa nyumbani kwao huko Tala, kaunti ya Machakos siku ya Jumamosi Katika mazishi ambayo yalihudhuriwa na viongozi kutoka pande zote za kisiasa, marehemu Moses aliombolezwa na jamaa yake sio tu kwa ukarimu wake, bali pia ucheshi aliokuwa nao. Marehemu alihudumu kama naibu mkurugenzi katika serikali ya kaunti ya Machakos kando na kuendesha biashara mabli mbali. Moses Muthama alifariki tarehe 4 Februari.