Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini : Serikali imeagiza akina mama wachanga waliokatiza masomo wanarudi shuleni

  • | KBC Video
    161 views
    Duration: 4:04
    Serikali imeagiza wakuu wote wa elimu katika kaunti ya Kisii kuhakikisha kina mama wachanga waliokatiza masomo wanaendelea na elimu mara moja. Katibu katika idara ya elimu ya msingi Profesa Julius Bitok, aliwaagiza wadau kwenye sekta ya elimu katika gatuzi la Kisii kufuatilia na kuharakisha kusajiliwa upya shuleni kwa zaidi ya kina mama 200 walio na umri wa chini ya miaka-18. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive