- 215 viewsDuration: 2:41Serikali imewaonya dhidi ya kuelekeza kwingine misaada ya chakula inayokusudiwa kusaidia familia zinazoathiriwa na ukame katika baadhi ya maeneo ya nchi hii. Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku aliyekuwa kaunti ya Wajir, alisema serikali imeimarisha usambazaji wa chakula na hatua nyingine kupunguza makali ya ukame unaoshuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya taifa hili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive