Skip to main content
Skip to main content

Kina mama wengi wazidi kufariki kutokana na matatizo ya ujauzito

  • | Citizen TV
    259 views
    Duration: 4:37
    Kenya inapoteza maelfu ya kina mama kutokana na matatizo yanayotokana na ujauzito na kujifungua kila mwaka. Takwimu hizo zinaashiria familia zilizoachwa bila mama, watoto bila walezi, na jamii zinazolazobaki na uchungu na mzigo kutokana na vifo hivo.