Skip to main content
Skip to main content

Serikali zatakiwa kutumia teknolojia ya kilimo barani Afrika kwa ajili ya utoshelevu wa chakula

  • | Citizen TV
    171 views
    Duration: 1:36
    Wadau katika sekta ya kilimo wametaka uwekezaji zaidi katika maeneo kame ili kukabiliana na baa la njaa nchini. Wakiongea huko Mombasa, wamesisitiza kuwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi utumizi wa vifaa vya kisasa ndio njia pekee ambayo bara Afrika linaweza kufaulu kujitosheleza kwa uzalishaji wa chakula.