- 226 viewsDuration: 1:08Ni afueni kwa wakazi ambao wanakabiliwa na baa la njaa katika eneo bunge la Saku kaunti ya marsabit. watu zaidi ya elfu 4200 wamenufaika na msaada wa chakula kutoka shirika la Maahad Dawa. Kila familia imepokea unga wa mahindi kilo 10, maharagwe kilo 2 na pakiti kadhaa za chum