Skip to main content
Skip to main content

Serikali yasema itaongeza ekari 10,000 za kilimo Galana Kulalu

  • | Citizen TV
    187 views
    Duration: 1:18
    Serikali inalenga kupanua mradi wa Galana Kulalu ili kuimarisha utoshelevu wa chakula sambamba na kukabili baa la njaa linalokumba zaidi ya kaunti 20 kote nchini. Akizungumza alipozuru mradi huo, waziri wa Maji na unyunyizi Eric Mugaa amesema serikali iko mbioni kuongeza ekari 10,000 kwa mradi huo ili kufikisha kiwango cha ekari 20,000 zinazozalisha chakula.