Skip to main content
Skip to main content

Rigathi Gachagua asisitiza kuwa muungano wa upinzani unajiandaa kukabiliana na rais Ruto

  • | Citizen TV
    6,121 views
    Duration: 3:16
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua alisema kuwa muungano wa upinzani unajiandaa kuhakikisha kuwa rais William Ruto hapati muhula wa pili wa kuongoza taifa. Akizungumza katika eneo bunge la Roysambu, Gachagua alipuuza mdahalo wa ni nani atakayekuwa naibu wa rais katika muungano wa rais William Ruto na chama cha ODM.