- 171 viewsDuration: 1:27Usimamizi wa kanisa la PEFA humu nchini umeanza mchakato wa kuhamasisha wazee wa kijamii katika Maeneo ya Kuria kukomesha ukeketaji . Wakizungumza katika Kanisa la PEFA tawi la Isebania, Rais wa kanisa Hilo Askofu John Okinda, alieleza kuwa ni lazima wazee hao wanaoshikilia mila waelimishwe kuhusu madhara ya ukeketaji Kwa mtoto msichana....