Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa upinzani walalamikia polisi ukisema Inspekta Kanja ameshindwa kudhibiti fujo

  • | Citizen TV
    2,654 views
    Duration: 2:37
    Viongozi wa muungano wa upinzani wanaendelea kuwalaumu maafisa wa polisi kwa madai ya kuvamia na kuvuruga mikutano yao ya kisiasa. Wakizungumza na wanahabari baada ya kumkosa Inspekta jenerali wa polisi ofisini mwake hapa jijini Nairobi, wamedai kuwa Inspekta jenerali Douglas Kanja anakwepa majukumu yake ya kudhibiti vurugu kwenye mikutano ya kisiasa.