Wadau wengi wataka serikali itoe fedha zaidi kufanikisha CBC

  • | K24 Video
    21 views

    Kero ya gharama ya kufanikisha masomo katika ngazi zote imeibuliwa na wadau na wazazi katika mchakato wa kukusanya maoni kuhusu sekta ya elimu. hii ni baada ya jopo linalotathmini mfumo wa elimu katamatisha ukusanyaji wa maoni hii leo. Hayo yakijiri walimu wameitaka serikali iahirishe mtihani wa kitaifa wa gredi ya sita, wakidai hawana uwezo wa kumudu mitihani mitatu itakayofanywa mwishoni mwa mwaka huu.