- 360 viewsDuration: 2:47Shughuli katika viwanja vya ndege nchini zilitatizika leo kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini. Wafanyakazi hawa wakilalamikia malipo na mazingira DUNI ya kazi. Mgomo huu ukifanyika licha ya agizo la mahakama kuwaagiza wasimamizi wa halmashaur ya wafanyakazi wa viwanja vya ndege kusitisha kwa muda mgomo huo. Jasmine Wambui anaarifu zaidi