- 1,658 viewsDuration: 2:46Kanisa la PCEA nchini limeitaka wizara ya usalama kufanya haraka kukomesha mashambulizi yanayoshuhudiwa katika mikutano ya kisiasa, likionya kwamba visa vinavyoendelea kushuhudiwa vinahatarisha usalama wa nchi. Kanisa hilo likilaani shambulizi la mkutano wa mrengo wa ODM mtaani kitengela huku pia viongozi wa mrengo wa katibu wa ODM Edwin Sifuna wakitaka uchunguzi.