Skip to main content
Skip to main content

Eldama Ravine: Pombe haramu yazua maandamano, mshukiwa ahukumiwa miaka 2

  • | Citizen TV
    192 views
    Duration: 2:17
    Watu wawili wameshtakiwa katika mahakama ya Eldama Ravine kaunti ya Baringo kwa mashtaka ya kumiliki pombe haramu. Haya yanajiri siku chache baada ya taarifa kuangazia changamoto ya pombe haramu katika Kijiji cha Poror kaunti ya Baringo. wakaazi wa Eldama Ravine waliandamana kushinikiza serikali kuweka mikakati zaidi kupunguza pombe haramu.