Skip to main content
Skip to main content

Shutuma za Mrusi: Serikali inaanzisha uchunguzi wa video baada ya kudaiwa kuwadhalilisha wanawake

  • | Citizen TV
    2,439 views
    Duration: 1:55
    Serikali imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya unyanyasaji dhidi ya wanawake wa Kenya unaodaiwa kutekelezwa na raia wa Urusi, kufuatia kusambazwa kwa video zilizosambaa mitandaoni. Katika taarifa, Wizara ya Jinsia imeagiza vyombo vya usalama kuchukua hatua za haraka kuchunguza suala hilo. Video hizo, ambazo zimezua hasira kubwa miongoni mwa wakenya, zilisambazwa sana mwishoni mwa wiki na kuchochea mdahalo, dhihaka na lawama mtandaoni.