Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mvuvi Brian Odhiambo: Mahakama haijatoa uamuzi kwa maafisa wa KWS

  • | Citizen TV
    136 views
    Duration: 1:20
    Mahakama ya Nakuru itatoa uamuzi kuhusu iwapo maafisa sita wa shirika la huduma za wanyamapori wanaodaiwa kuhusika na kutoweka kwa mvuvi Brian Odhiambo, wana kesi ya kujibu au la, tarehe 3 Machi mwaka huu