Skip to main content
Skip to main content

DCI wamkamata mshukiwa wa wizi wa simu Kericho baada ya kuanzisha msako

  • | Citizen TV
    1,290 views
    Duration: 3:03
    Mshukiwa mmoja amekamatwa na simu zaidi ya ishirini kunaswa pamoja na vifaa vya kusafisha mfumo wa simu hizo. Kulingana na idarab ya upelelezi, simu nyingi zinazoibiwa huishia nchi za Tanzania,Uganda , Rwanda na Burundi. Katika operesheni ya kuwanasa wahusika ,eneo la Kericho lilipatikana kuwa eneo wanalotumia sana kusafisha mfumo wa simu hizi baada ya kuibiwa.