- 340 viewsDuration: 1:01Mbunge wa kiharu ndindi nyoro sasa anashinikiza mchakato wa uuzaji wa hisa za safaricom usitishwe mara moja akidai kuwa wakenya tayari wananunua hisa hizo kwa bei nafuu ikilinganishwa na bei ya serikali ya shilingi 34 kwa kila hisa. Nyoro anasema kuwa wakenya watapoteza mabilioni ya pesa kwenye uuzaji wa hisa hizo ambapo serikali imetangaza kuuza asilimia 15 ya hisa zake kwenye kampuni hiyo ya mawasiliano.