- 1,875 viewsDuration: 1:16Mubunge wa kaiti Joshua Kimilu ambaye ni mmoja wa wabunge ambao wamekuwa wakiandamana na seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna kwenye mikutano ya linda wananchi amelaani vikali mauaji ya kijana ambaye alipigwa risasi na polisi mjini Kitengela wakati wa mkutano wao jumapili iliyopita. Kimilu akizungumza na wananhabari amesema taifa la kenya linaongozwa na katiba na demokrasia na ni kinyume cha sheria kwa wananchi kuvurugwa wanapoendesha mikutano ya amani.