- 3,839 viewsDuration: 7:18Kwa siku ya pili wasafari wameendelea kutaabika katika uwanja wa jkia kufuatia mgomo wa wafanyikazi. Runinga ya citizen imethibitisha kuwa ndege za usafiri humu nchini na kutoka nje zimeathirika kufuatia mgomo huo huku wasafiri wakielezwa kusubiri kwa zaidi ya saa nne kabla ya kusafiri.