- 3,558 viewsDuration: 3:53Kisima kipya cha maji kilichochimbwa katika eneo la Gerile, Kaunti ya Wajir, sasa kinatoa matumaini kwa maelfu ya wakazi na wafugaji, huku wengine wakivuka mpaka kutoka nchi jirani ya Somalia kutafuta maji. Na Kama anavyoarifu Mwandishi wetu Hashiim Jimaal, Hali hii inaangazia shinikizo linaloongezeka la rasilimali haba katika ukanda wa mpakani mwa Kenya na Somalia kufuatia athari za ukame wa muda mrefu.