- 482 viewsDuration: 3:18Muungano wa wafanyikazi wa viwanja vya ndege nchini umesitisha mgomo wake uliokuwa umeingia siku ya pili hii leo. Hatua hii ikifuatia makubaliano yaliyohusisha wizara za uchukuzi, leba na wasimamizi wa halmashauri ya viwanja vya ndege. Katibu mkuu wa muungano huo Moss Ndiema akiwaagiza wafanyakazi waliokuwa wakigoma kurejea huku siku ya pili ya mgomo huo pia ikishuhudiwa kutatizwa kwa huduma katika viwanja vya ndege