17 Feb 2026 7:47 pm | Citizen TV 9,127 views Duration: 1:17 Washukiwa watano wa uhalifu walioshukiwa kuiba shilingi millioni moja kutoka kwa mweka hazina wa Chama kimoja eneo la Soin Sigowet kaunti ya Kericho wamepigwa na uma hadi kufa