- 160 viewsDuration: 3:06Huku ndoa za mapema zikiendelea kuzua hofu miongoni mwa eneo la kaskazini mwa Kenya, baraza la wazee wa jamiii za Wagabra na Wasamburu leo wamekongamana mchana kutwa katika juhudi za kutafuta suluhu ya tatizo hili. Kwenye mkutano huo uliofanyika kaunti ya Samburu, wazee hawa wameafikiana kufanya jitihada zaidi kumaliza kabisa tabia za kuozesha watoto wa kike kabla ya kutiu umri.