- 75 viewsDuration: 1:05Mfaransa Juliene Mette amechukua rasmi hatamu katika timu ya Tusker Fc kufuatia kufutwa kazi kwa Charles Okere kama kocha mkuu. Mette atakuwa na Anthony Kimani kama msaidizi wake, Kimani akicheza jukumu sawa katika timu ya taifa ya kandanda, harambee stars.