17 Feb 2026 7:49 pm | Citizen TV 271 views Duration: 1:37 Rais William Ruto amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa kwa mafunzo ya kijasusi barani Afrika ili kukabiliana na changamoto za kiusalama zinazochipuka.