Skip to main content
Skip to main content

Shehena ya kwanza ya dozi za dawa ya kuzuia HIV yawasili nchini

  • | Citizen TV
    1,827 views
    Duration: 1:59
    Shehena ya kwanza ya dozi za dawa inayozuia usambazaji ya virusi vya HIV iliwasili nchini hapo jana usiku. Akipokea dawa hizo katika uwanja wa Kimataifa ya Jomo Kenyatta Mkurugenzi Mkuu katika wizara ya Afya Dkt. Patrick Amoth alisema Wakenya wataanza kupokea dawa hizo kuanzia mwezi wa machi. Kulingana na Dkt. Amoth, dawa hio sio chanjo wala dawa ya kuponya ukimwi, bali ya watu ambao hawana Ukimwi lakini wako katika hatari ya kupata virusi hivyo. Usambazaji utaanza na Kaunti Kumi na tano ambazo zimekuwa na idadi ya juu ya maambukizi mapya. Kaunti hizo ni pamoja na Mombasa, Kilifi, Machakos, Kakamega, Siaya, Kisumu, Homa Bay, Kisii na Kiambu