Skip to main content
Skip to main content

Wakristo waadhimisha Jumatano ya majivu kuashiria mfungo

  • | Citizen TV
    738 views
    Duration: 7:08
    Leo ni Jumatano ya majivu ambayo huashiria mwanzo wa siku Arobaini za kujinyama, kusali na kuwasaidia wasiojiweza miongoni mwa waumini wa kikristo haswa wa kanisa kikatoliki. Aidha leo ni aadhimisho ya mateso, kifo na ufufuo wa Yesu Kristo kote duniani. Katika kaunti ya Nakuru waumini walikuwa na misa ya asubuhi ya majivu na nyingine itakuawepo mwendo wa saa Saba alasiri.